Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana,
Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu (nafsi yangu)
Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu, Nakuinulia nafsi yangu x 2
1(a) Ee Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako, unifundishe mapito, mapito yako.
(b) Uniongoze katika kweli yako, Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha, na kunifundisha.
2(a) Bwana yu mwema mwenye adili, kwa hiyo atawafundisha, atawafundisha wenye dhambi, wenye dhambi njia.
(b) Wenye upole atawaongoza, katika hukumu, wenye upole atawafundisha nja yake
3(a) Nji azote za Bwana ni fadhili na kweli, kwao walishikao agano lake, walishikao agano lake na shuhuda zake.