Ee Bwana Mungu wangu nalikulilia ukaniponya, Ee Bwana nalikulilia ukaniponya x 2:
Mashairi:
1 (a)Â Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua, wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
1 (b)Â Umeniinua nafsi yangu ee Bwana, nafsi yangu kutoka kuzimu.
2 (a)Â Umeniuhisha na kunitoa, miongoni mwao washukao shimoni.
2 (b)Â Mwimbieni Bwana, mwimbieni zaburi, enyi watauwa watauwa wake.
3 (a)Â Nakufanya shukrani kwa kumbukumbu, kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
4 (a)Â Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, katika radhi yake mna uhai.
5 (a)Â Huenda kilio huja kukaa usiku, lakini asubuhi huwa furaha.
3 (b)Â Ee Bwana usikie unirehemu, Bwana uwe msaidizi wangu.
4 (b)Â Uligeuza matanga yangu kuwa machezo, Ulinivua gunia ukanivika furaha.
5 (b)Â Ee Bwana Mungu wangu ee Mungu wangu, Ee Bwana nitakushukuru milele.