Baba Padre tunakuaga, tunakutakia utume mwema uendako x2
Tunakushukuru kwa utume uliotukuka x2 . Tunakupongeza kwa kuteuliwa kuwa Paroko wa Parokia mpya uendako x2.
Hongera Baba Padre kwa utume, Twakutakia utume mwema sana, Mungu awe pamoja na wewe.
MASHAIRI
1. (a) Miaka minne hapa kwetu, hakika ulitulea
  (b) Watoto kutubatizia, utume uliuchapa, Kwaheri, kwaheri, kwaheri Baba Padre.
2. (a) Sakramenti yaupatanisho, Baba ulitupatia
  (b) Mwili na Damu yake Yesu, Chakula cha roho zetu. Kwaheri, kwaheri, kwaheri Baba Padre.
3. (a) Ndoa za pamoja hakika, mawazo yako mazuri
  (b) Mwenyezi Mungu akulinde, Parokiani Vianzi.Â
Kwaheri, kwaheri, kwaheri Baba Padre
4. (a)
Vijibweni
twakuombea, Maisha marefu Baba
  (b) Karibu tena
Vijibweni
, Nafasi uipatapo.Â
Kwaheri, kwaheri, kwaheri Baba
Lukumu
.