NAJONGEA NA ZAWADI
Najongea Bwana, na zawadi yangu nikukabidhi uipokee,
unitakase na uovu wangu unibariki nipate zaidi. Nakuja na fedha, za mifuko na
mazao ya shamba, pia naleta (nayo nafsi yangu (naomba) Bwana pokea x2)
Alto: Najongea na zawadi Bwana yangu mimi, nikukabidhi
Bwana, uipokee. Unitakase Bwana na uovu, unibariki mimi, nipate zaidi Nakuja na
fedha, za mifuko na mazao ya shamba, pia naleta (nayo nafsi yangu (naomba)
Bwana pokea x2)
1.
   Â
Kama wawili walirudisha Bwana talanta zao, nami
ninarudisha kusema asante Mungu.
2.
   Â
Kama ulivyoipokea, sadaka ya Ibrahimu, Abeli,
Melkisedeki naomba Pokea yangu.
3.
   Â
Kama mmoja kati ya kumi, kaja kusema asante, na
mimi nimerudi kusema asante Mungu.
4.
   Â
Vitu vyote ulivyonipa, Baba ninashukuru, tumaini
langu kwako, leo hata milele.