AMEFUFUKA MWOKOZI
Sop & Alto: Jumapili (Mapema) asubuhi kaburi (la
Yesu liko) li wazi, jiwe limevingirishwa kando kaburini hayumo x2. (Yu wapi) Amefufuka
Bwana ameenda Garilaya twende Garilaya tushuhudie. Amefufuka Bwana amefufuka
Mwokozi, Mkombozi wetu aleluya.
Tenor & Bass: Mapema asubuhi kaburi (la Yesu liko)
li wazi, jiwe limevingirishwa kando kaburini hayumo x2. (Yu wapi) Amefufuka
Bwana ameenda Garilaya tuandamane Kwenda Garilaya tushuhudie. Amefufuka Bwana
amefufuka Mwokozi, amefufuka mkombozi wetu aleluya.
1.
   Â
Maria Magdalena,Maria mama wa Yakobo naye Salome
walilikuta kaburi likiwa wazi na mwili haupo.
2.
   Â
Malaika kawaambia, msiogope najua mnamtafuta
yesu aliyekufa hayupo hapa amefufuka.
3.
   Â
Yesu kawaambia, msiogopee nendeni mkawaambie
ndugu zangu waende Garilaya huko wataniona.
4.
   Â
Aleluya tuimbe sasa, vigelegele tupige
tumshangilieamefufuka leo, kashinda kifo yu mzima tena.